Mswaliji Haram hakuielekea Ka´bah ipasavyo

Wait 5 sec.

Swali: Baadhi ya waswaliji katika msikiti Mtakatifu hawaielekei Ka´bah ipasavyo licha ya kwamba wana uwezo wa kufanya hivo. Ni ipi hukumu ya swalah zao?Jibu: Swalah zao ni batili. Kama wanaweza kuiona Ka´bah basi wanalazimika kuielekea ipasavyo. Serikali – Allaah awajaze kheri – wameweka alama ya misitari ya mwelekeo sahihi. Kwa hivyo mtu akielekea misitari hii inakuwa ni mwelekeo sahihi.